#Kontakion #TheDormition #ModePlagal2 SWAHILI: Kifo na kaburi havikutawala juu ya Mzazi Mungu Yeye hafi katika maonbezi Matumaini yetu kwake kwa...
Month: August 2021
#Apolytikion #ProphetSamuel #Mode2 SWAHILI: Ulipeanwa kama tuzo la thamani kwa mimba tasa na kutolewa kama dhabihu aroma kwa Bwana wako...
#ResurrectionalApolytikion #Mode8 SWAHILI: Ulishuka mbinguni, Ee mwenye huruma Ukawa kaburini muda wa siku tatu Ili tuwe huru, mbali na tamaa...
#CommunionHymn #DormitionOfTheTheotokos SWAHILI: Nitakipokea kikombe cha wokovu, na kuliita jina la Bwana, Alleluia ENGLISH: I will take up the cup...
#ResurrectionalApolytikion #GraveTone #HeavyMode SWAHILI: Kwa msalaba Wako ulibomoa mauti Ukafungulia mnyang'anyi Paradiso Ukabadilisha maombolezo ya wanawake Walioleta marhamu, kuwa furaha...
#ExapostilarionOfTheDormition SWAHILI Enyi Mitume mliokusanyika * toka pembe zote duniani * leo hapa Gethsemane; * sasa njooni mzike mwili wangu....
#ApolytikionOfTheDormition Apolitikio - Sauti 1 Ulimzaa mwana, na kuuhifadhi ubikira Wako. Ulilala usingizi kifoni bali hukuuacha ulimwengu, Ee Mzazi Mungu....
#Kontakion_of_the_Transfiguration_Grave_Tone source
#Mistari_Kamili_Ya_Antifoni_Hapa: ANTIFONI I 1. Bwana ndiye aliye mkuu, na mwenye kusifiwa sana; katika mji wa Mungu wetu. Kwa maombi ya...
#Apolytikion_Of_The_Transfiguration_Grave_Tone source