#Apolytikion #Entry_of_the_Theotokos #Mode4 SWAHILI: Leo ndio yatangulizwa nia njema ya Mungu, na tangazo la wokovu wa mwanadamu. Hekaluni mwa Mungu,...
Swahili Orthodox Chants & Teachings
Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.