#Kontakion #MeetingOfTheLord #LyricalVideo SWAHILI: Ulitakasa mimba ya bikira kwa kuzaliwa Kwako, na kuibariki mikono ya Simeoni ipasavyo. Twatarajia kuwa umetuokoa...
Month: January 2022
SWAHILI: Salamu, Wewe uliyejaa neema, Ee Mzazi-Mungu bikira; /maana toka Kwako, limechomoza jua la haki, Kristo Mungu wetu; /na kuwaangazia...
#Apolytikion #Epiphany #Mode1 #Swahili SWAHILI: Katika Yordani ulipobatizwa Bwana, kusujudiwa kwa Utatu kulidhibitika; kwa kuwa sauti ya Baba mzaa ilikushahidi,...