#Apolytikion #mode2 SWAHILI: Mtume mpendwa wa Kristo Mungu wetu, harakisha kukomboa watu wasio na ulinzi. Aliyekuwezesha, kukaa kifuani Mwake, anakupokea...
Swahili Orthodox Chants & Teachings
Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.