Ee Bwana wahimidiwa nifundishe amri Zako. Jamii ya watakatifu imeona chemichemi ya uzima na lango la paradiso, niweze Nami kuiona...
Swahili Orthodox Chants & Teachings
Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.