Usifiche uso Wako kwa mwanao, maana nateseka; fanya hima kunisikia, sogea nafsi yangu na uniokoe. X2 Verse: Wokovu Wako, Ee...
Swahili Orthodox Chants & Teachings
Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.