#https://youtube.com/@stbarnabasorthodoxmission4374 source
Month: May 2023
Mhimidiwa juu ya vyote ni Wewe, Ee Kristo Mungu wetu. Uliwaimarisha Mababa watakatifu kama nguzo duniani, na kupitia kwao umetuongoza...
Mtume Wako kati ya Watawala, Mtakatifu Konstantino, aliye kwa wakati mmoja uona mfano wa Msalaba Wako angani, na ambaye kama...
Ulipaa kwa utukufu, Ee Kristo Mungu wetu, (You ascended in glory, O Christ our God,) baada ya kuwajaza wanafunzi kwa...
Yakini haya: Sote twapita njia tu maishani haya, magonjwa mbalimbali na mateso yakiwa sehemu ya mafunzo yetu ndani ya upendo...
Sababu ya kila mmoja kung'ang'ana kuzitunza hisia zake. Kulingana na Mtakatifu Giorgio Mtheolojia, lazima tung'ang'ane kudhibiti hisia zetu na kuzitunza,...