Sauti 7 Enyi Mashahidi watakatifu, ninyi mfano na matendo yenu yamejishindia taji la utukufu, tuteteeni kwa Bwana wetu, na kumwomba...
Swahili Orthodox Chants & Teachings
Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.