Kuzaliwa Kwako Kristo Mungu wetu / kuliletea ulimwengu nuru ya ujuzi / maana kwa hao / wenye kuabudu nyota / walifundishwa na nyota / kukusujudu / Wewe Jua la Haki / na kukujua machweo kutoka juu / Utukufu Kwako, Ee Bwana.
source
Swahili Orthodox Chants & Teachings
Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.
Recent posts
Apolitikio ya Pentekoste
Hebu jiulize
Apolitikio ya Mtakatifu Yohana Krisostomu (Nov 13)