October 7, 2026

Swahili Orthodox Chants & Teachings

Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.

Apolitikio ya Kuzaliwa kwake Mzazi-Mungu | Sep 8



Swahili Apolytikion of the Nativity of the Theotokos

Mode 4
Kuzaliwa kwako, Ee Mzazi-Mungu, kumetangaza furaha ulimwenguni kote; maana toka kwako limechomoza Jua la Haki, Kristo Mungu wetu. ameibatilisha laana, na kutupea baraka; na kuvunja nguvu za mauti, ametujalia uzima wa milele.

source