APOLITIKIO YA MTAKATIFU MUSA MWETHIOPIA – Sauti 1
Mkazi jangwani na malaika mwilini, ulionyeshanwa ukiwa mtenda-miujiza, Ee baba mtakatifu Musa. Ulipokea tuzo za mbinguni kwa kufunga, kukesha na kuomba; na waponya wagonjwa na nafsi za waujiao msaada wako kwa Imani. Utukufu kwa Kristo aliyekupa nguvu. Utukufu Kwake aliyekuvisha taji. Utukufu Kwake aponyaye wote kupitia kwako.
source
Swahili Orthodox Chants & Teachings
Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.
Recent posts
Apolitikio ya Kuzaliwa kwake Mzazi-Mungu | Sep 8
Apolitikio ya Pentekoste
Hebu jiulize