August 13, 2026

Swahili Orthodox Chants & Teachings

Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.

MAISHA YA WATAKATIFU

Maisha ya watakatifu wafuatayo yameangaziwa kwenye tuvuti hii:
1. Mtakatifu Maria wa Misri https://youtu.be/DLdlYVP6Cq4?si=P6ie-V5ML-f8eKqf
2. Mtakatifu Yufrosini na babake Mtakatifu Pafnuti https://youtu.be/A41QJHpKREg?si=bE6VkTlgp3q7j2a6
3. Watakatifu Raphaeli, Nikolao na Bikira Irini https://youtu.be/a_fqbPUUJKQ?si=zdWznAUdKrM10Ese
4. Mtakatifu Makarios wa Misri https://youtu.be/M_dScRocqhI?si=MV9572JC1TKn18Ki