August 13, 2026

Swahili Orthodox Chants & Teachings

Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.

Exapostlario

Exapostlario (wingi. Exapostilaria) ni wimbo wa nuru uimbwao baada ya kuimba kanuni. Kwenye Maombi ya Asubuhi, huimbwa baada ya wimbo wa ‘Mtakatifu ni Bwana mungu wetu…’. Huwa unaleta mada ya Mtakatifu wa siku hiyo au Msimu huo. Baadhi ya Exapostilario tulizo nazo hapa ni:

1. Ya Sikukuu ya Kulala Usingizi kwa Mzazi-Mungu.
2. Ya Mitume.