KWAKO JEMADARI (O Champion General) Sauti ya nane Kwako jemadari, kunilinda nina deni, kukushukuru kwa wokovu...
Kontakio
Mfano wa wimbo wa kontakio (zaidi ya moja huitwa Kontakia) ni ‘Uliye ulinzi wa Wakristo’ na pia ‘Kwako Jemadari.’ Huu wimbo huwa unabadilika kulingana na msimu mwakani.
#ApolitikioSauti1 #ExapostilarioSauti3 #KontakioSauti6 Apolitikio - Sauti 1 Ulimzaa mwana, na bado ukauhifadhi ubikira Wako. Ulilala usingizi kifoni bali hukuuacha ulimwengu,...