Lyrics
Hata kama uliteremka kaburini,/ Ewe usiyekufa,/ ila ulishinda nguvu za Jehanamu;/ na ukafufuka kama mshindi,/ Ee Kristo Mungu wetu;/ na kuitana “Salamu”/ kwa wanawake wabeba mafuta,// na kuwapa mitume Wako amani,/ Ee Bwana unayewapa walioanguka Ufufuo.
source
Swahili Orthodox Chants & Teachings
Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.
Recent posts
Apolitikio ya Pentekoste
Hebu jiulize
Apolitikio ya Kuzaliwa kwa Kristo (Live class with Nyandarua Youths)