KWAKO JEMADARI
°Kwako Jemadari / kunilinda nina deni,/
°Kukushukuru / kwa wokovu na kushinda kwangu./
°Mimi mji wako,/ Ee Mzazi Mungu,/
°Tena kwa mamlaka / yako si kushindwa/
°Na hatari kila namna / niepue kukuimbia./
°Kwa kelele kubwa, Salamu,/ bibi arusi,/ usiyeolewa.
source
Swahili Orthodox Chants & Teachings
Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.
Recent posts
Apolitikio ya Pentekoste
Hebu jiulize
Apolitikio ya Kuzaliwa kwa Kristo (Live class with Nyandarua Youths)