KWAKO JEMADARI (O Champion General) Sauti ya nane
Kwako jemadari, kunilinda nina deni, kukushukuru kwa wokovu na kushinda kwangu, mimi mji Wako, Ee Mzazi-Mungu, tena kwa mamlaka yako si kushindwa na hatari kila namna niepue kukuimbia kwa kelele kubwa: Salamu Bibi harusi usiyeolewa.
Recent posts
Apolitikio na Kontakio za Msalaba
Apolitikio, Kontakio na Exapostilario (For the Dormition)