Ni Wajibu kweli kukuita heri, Ee Mzazi Mungu , mbarikiwa daima na bila doa tena Mama wa Mungu wetu, uliye wa thamani kushinda Wakheruvi, unaye utukufu kupita bila kiasi Waserafi, uliye mzaa Mungu Neno bila kuharibu, uliye Mzazi Mungu kweli, tunakutukuza wee.
source
Swahili Orthodox Chants & Teachings
Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.
Recent posts
Wimbo kwa Mzazi-Mungu (Maumbile yote yakushangilia)