#ApolitikioSauti1 #ExapostilarioSauti3 #KontakioSauti6
Apolitikio – Sauti 1
Ulimzaa mwana, na bado ukauhifadhi ubikira Wako. Ulilala usingizi kifoni bali hukuuacha ulimwengu, Ee Mzazi Mungu. Ulirejeshwa maishani, kwani ndiwe Mama ya Uzima na, kwa wema wa maombezi Yako, komboa nafsi nafsi zetu kutoka mautini.
Exapostilario – Sauti 3
Enyi Mitume mliokusanyika * toka pembe zote duniani * leo hapa Gethsemane; * sasa njooni mzike mwili wangu. * Na wewe, mwanangu na Mungu wangu, * pokea roho yangu iondokayo.
Kontakio – Sauti 6
Si kifo, wala si kaburi kilichomzidi Mzazi Mungu.
Kamwe hafi katika kutuombea
Kumtumaini kwetu atulinde hakusongeki
Kwani ndiye Mama ya Uzima, alirejeshwa maishani Naye,
Bwana aliyeishi katika mimba yake ya ubikira daima.
pray for us, we can’t sing with musical notes but sing from the heart
source
Very nice