August 13, 2026

Swahili Orthodox Chants & Teachings

Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.

Swahili ALLELUIAS of the Lenten, Weekly Matins



• Roho yaku itakutafuta makesha ya usiku, Ee Mungu, maana maagizo yako ni nuru nchini.

Alleluia, Alleluia, Alleluia.

• Jifunzeni haki enyi mkaao nchini.

Alleluia, Alleluia, Alleluia.

• Wivu utawashika watu washenzi na sasa hivi maadui watachomwa motoni.

Alleluia, Alleluia, Alleluia.

• Uwazidishie mabaya Ee Bwana, uwazidishie mabaya, waliotukuzika bure duniani.

Allelulia, Allelulia, Allelulia.

source