. #lyrics_here #Presanctified_Liturgy_Swahili_Hymns
LET MY PRAYER ARISE
Sala yangu ipae mbele Zako kama uvumba, kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu ya jioni
Let my prayer be set forth before You as
incense, the lifting up of my hands as the evening
sacrifice.
NOW THE POWERS OF HEAVEN
Sasa nguvu za mbinguni pamoja nasi kwa kutoonekana, zinaabudu. Tazama ya kuwa Mfalme wa utukufu anapita.
Now the powers of heaven are invisibly
worshiping with us. For behold, the King of glory
enters in.
BEHOLD, A MYSTICAL AND PERFECT SACRIFICE
Ona dhabihu ya fumbo timilifu yaja. Tuisongee kwa imani na tamani kwamba tustahilishwe kuwa washiriki wa Uzima wa milele. Alleluia
Behold, a mystical and perfect sacrifice is
coming forth. Let us come forward with faith and
desire that we may become partakers of eternal life.
Alleluia.
THE KOINONIKON (COMMUNION HYMN)
Onjeni na muone,ya kuwa Bwana ndiye mwena. Alleluia.
O taste and see how good the Lord is. Alleluia. Alleluia. Alleluia.
I WILL BLESS THE LORD
Nitamhimidi Bwana kila wakati; sifa Zake zi kinywani mwangu daima. Mkate wa mbinguni na kikombe cha Uzima onjeeni na muone ya kuwa Bwana ndiye mwena. Alleluia, Alleluia, Alleluia.
I will bless the Lord at all times; His praise
shall continually be in my mouth. Taste the Bread
of heaven and the Cup of Life, and see that the
Lord is good. Alleluia, Alleluia, Alleluia.
source
Wow, this article is good, my younger sister is analyzing these
kinds of things, so I am going to let know her.