August 13, 2026

Swahili Orthodox Chants & Teachings

Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.

Swahili kontakion of the Departed, tone 8



#OrthodoxFuneralService #Kontakion

Pamoja na watakatifu, Ee Kristo; pumzisha roho za watumishi Wako, mahali pasipo; uchungu, sikitiko na kuomboleza, lakini uzima wa milele.

source