#MeatfareWeek #JudgmentSunday
Utakaposhuka duniani, Ee Mungu, kwa utukufu Wako,
viumbe vyote vitasita kwa mtetemo,
nao mto wa moto utaja mbele ya Kiti Chako cha Hukumu;
vitabu vitafunguliwa, na siri zote kuvumbuliwa.
Niokoe, siku hiyo, nakuomba, toka kwa moto wa milele,
na unistahilishe kusimama kuume Kwako, Ee Hakimu wa haki mno.
Icons courtesy of Orthodox Witness and Goarch
source
Recent posts
Apolitikio ya Pentekoste
Hebu jiulize
Apolitikio ya Kuzaliwa kwa Kristo (Live class with Nyandarua Youths)