Usifiche uso Wako kwa mwanao, maana nateseka; fanya hima kunisikia, sogea nafsi yangu na uniokoe. X2
Verse: Wokovu Wako, Ee Mungu, hunisimamisha.
Usifiche uso Wako kwa mwanao, maana nateseka; fanya hima kunisikia, sogea nafsi yangu na uniokoe.
source
Recent posts
Apolitikio ya Pentekoste
Hebu jiulize
Apolitikio ya Kuzaliwa kwa Kristo (Live class with Nyandarua Youths)