PROKIMENO sauti 5
Inuka, Ee Bwana Mungu wangu, maana unatawala milele. (x2)
Nitakushukuru, Ee Bwana, kwa moyo wangu wote.
Inuka, Ee Bwana Mungu wangu, maana unatawala milele.
source
Swahili Orthodox Chants & Teachings
Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.
PROKIMENO sauti 5
Inuka, Ee Bwana Mungu wangu, maana unatawala milele. (x2)
Nitakushukuru, Ee Bwana, kwa moyo wangu wote.
Inuka, Ee Bwana Mungu wangu, maana unatawala milele.
source
Recent posts
Apolitikio ya Pentekoste
Hebu jiulize
Apolitikio ya Kuzaliwa kwa Kristo (Live class with Nyandarua Youths)