August 13, 2026

Swahili Orthodox Chants & Teachings

Ili kwa nia moja tuungame: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Utatu wa asili moja, na asiyetengana.

Swahili Troparion of St Anthony the Great (H.G Neofitos, Fr Maximos & Catechist S. Maingi



Apolitikio ya Mt Antonio Mkuu

Uliiga mienendo ya Elia mwenye juhudi
na kufuata njia sawa na za Yohana Mbatizaji
ukafanya jangwa kuwa makao yako
na kuimarisha dunia kwa maombi yako
Ee baba, Antonios, tutetee kwa Kristo Mungu
ili aokoe nafsi zetu.

source