#Apolytikion #StGregoryPalamas #FourthPlagal #CatechistSammyPsalmist
Ee nyota ya uorthodoksi, msaada wa kanisa na mwalimu wake!
Ee kivutio cha watawa na jemadari asiyeshindwa, wa wazungumzao ki-theologia!
Grigorio mtenda miujiza, raha ya Thessalonika na mhubiri wa.neema!
Msihi, Ee bila kukoma, kwa ajili ya wokovu wa nafsi zetu.
source
Recent posts
Apolitikio ya Pentekoste
Hebu jiulize
Apolitikio ya Kuzaliwa kwa Kristo (Live class with Nyandarua Youths)