Tone 1 – Mwana wa Silivria na mlezi wa Aegina
mwandani wa uadilifu wa kweli uliyeonyeshanwa miakani ya mwisho
Ee Nektario, kwa imani tunakuheshimu
kama mtumishi mtawa wa Kristo
maana wamwaga uponyaji wa kila namna, kwa waliao kwa kumcha Mungu;
Utukufu Kwa Kristo Aliyekutukuza
Utukufu Kwake Aliyekuajabisha
Utukufu Kwake Aponyaye wote kupitia Kwako.
images from Orthodox Christianity and Orthodox Monasteries websites
source
Recent posts
Apolitikio ya Pentekoste
Hebu jiulize
Apolitikio ya Kuzaliwa kwa Kristo (Live class with Nyandarua Youths)