Troparia ya Alhamisi Takatifu: Kuoshwa kwa miguu • Sauti 8
Huku Wanafunzi watukufu wakiangazwa haflani mwa kuoshwa miguu wakati wa chakula cha jioni, hapo pia, Yuda asiyemcha Mungu aliangamia gizani, akiugua tamaa. Na akakupeana, Ee Hakimu wa haki, kwa mahakimu wasiotii sheria. Angalia hapa, Ee upenziye pesa, na umwone aliye kwa ajili ya pesa jitia kitanzi. Uondokee ulafi uliomfanya athubutu kufanikisha tendo la jinsi hiyo dhidi ya Mwalimu. Ee Bwana, mwema kwa wote, utukufu uwe Kwako.
source
Recent posts
Apolitikio ya Pentekoste
Hebu jiulize
Apolitikio ya Kuzaliwa kwa Kristo (Live class with Nyandarua Youths)