Swahili Orthodox Chants
Bwana Yesu alitamka: "Mimi ndimi njia ya kweli, mtu haji kwa Baba yangu ila kwa njia yangu mimi." Hebu jiulize...
Ni Wajibu kweli kukuita heri, Ee Mzazi Mungu , mbarikiwa daima na bila doa tena Mama wa Mungu wetu, uliye...
#doxology #dhoksologia #orthodox #swahiliorthodoxchants #makariosseminary #90's source
Kuzaliwa Kwako Kristo Mungu wetu / kuliletea ulimwengu nuru ya ujuzi / maana kwa hao / wenye kuabudu nyota /...
NEEMA ing'aayo toka kinywani mwako kama taa imeuangazia ulimwengu, imeifichulia dunia hazina ambazo mali haiwezi kununua, na kutuonyesha kimo cha...
Mwana wa Silivria na mlezi wa Aegina mwandani wa uadilifu wa kweli uliyeonyeshanwa miakani ya mwisho Ee Nektarios, kwa imani...
Sauti 7 Enyi Mashahidi watakatifu, ninyi mfano na matendo yenu yamejishindia taji la utukufu, tuteteeni kwa Bwana wetu, na kumwomba...
Mtk. Makari(os) Mkuu alikuwa mwanafunzi wa Mtk. Antoni(os) Mkuu. Alizaliwa mwaka wa 301 huko Misri. Alijiunga na utawa miakani ya...
KWAKO JEMADARI (O Champion General) Sauti ya nane Kwako jemadari, kunilinda nina deni, kukushukuru kwa wokovu...